Habari mpya kutoka Yanga asubuhi leo 21.2.2019

Habari mpya kutoka Yanga asubuhi leo 21.2.2019

0

Habari mpya kutoka Yanga asubuhi leo 21.2.2019

Baada ya kuvunja Mwiko wa kutowafunga Mbao Fc katika uwanja wa CCM Kirumba klabu ya Yanga imeandika ujumbe mpya kupitia Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii.

Baada ya kuvunja mwiko kwa Mbao Fc hapo jana,mapema asubui hii kikosi kinarejea Dar es salaam tayari kwa safari ya kwenda kuwavaa Namungo.

Install App Bora Ya Michezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY