Habari mpya kutoka Yanga jioni ya Leo kuelekea mechi ya Singida

Habari mpya kutoka Yanga jioni ya Leo kuelekea mechi ya Singida

0

Habari mpya kutoka Yanga jioni ya Leo kuelekea mechi ya Singida

Kutoka katika kurasa za Yanga Jioni Hii kuna habari mpya ya kukufikia wewe Mpenzi wa Yanga au mwanamichezo jioni ya Leo.

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

Yanga msomaji wa Kwataunit.co.ke kupitia ukurasa wao wa Instagram wameandika habari mpya kuhusiana na kinachoendelea kuelekea mchezo kati ya Singida United dhidi ya Yanga.

Yanga wamefanya mazoezi jioni ya Leo huku mchezaji Amis Tambwe akionekana kurejea katika mazoezi ya leo hivyo anaweza kupewa nafasi katika mchezo wa kesho baada ya kukosekana katika mchezo wa Coastal Union baada ya kuumia.

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY