Habari mpya kutoka Yanga mchana wa leo 12 February 2019

Habari mpya kutoka Yanga mchana wa leo 12 February 2019

0

Habari mpya kutoka Yanga mchana wa leo 12 February 2019

Kutoka katika kurasa za Yanga za Mitandao ya kijamii leo wameandika kuhusiana kambi yao waliyoiweka mkoani Morogoro baada ya Kutoka Tanga.

Kupitia ukurasa wa Insta wameandika.

Baada ya mchezo wa mwisho uwanja wa Mkwakwani kikosi kilielekea Morogoro ambapo kitakuwa kwenye matayraisho ya siku chahe kuelekea mchezo wa Jumamosi dhidi ya Simba Sc.

Kikosi kiliwasili Salama jana jioni na leo hii kimeanza mazoezi yake kwenye viwanja vya Bigwa.

Install App ya Wakubwa Ujishindie Vocha kila Siku

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY