Habari mpya kutoka Yanga mchana wa leo 13 February 2019

Habari mpya kutoka Yanga mchana wa leo 13 February 2019

0

Habari mpya kutoka Yanga mchana wa leo 13 February 2019

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi yake kuiwinda Simba Jumamosi hii katika uwanja wa Taifa JIJINI Dar Es Salaam.

Yanga wameweka kambi yao katika mkoa wa Morogoro na Kupitia ukurasa wao wa Instagram leo mchana wameandika juu ya kile kinachoendelea Morogoro.

Haya hapa maandalizi ya kikosi chetu kuelekea mechi dhidi ya Simba SC jumamosi

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY