Habari mpya Kutoka Yanga usiku leo 11 February 2019

Habari mpya Kutoka Yanga usiku leo 11 February 2019

0

Habari mpya Kutoka Yanga usiku leo 11 February 2019

Leo 11 February Yanga inatimiza miaka 84 toka Kuanzishwa kwake mwaka 1935 katika kuadhimisha miaka hiyo Yanga imefanya Sherehe ambayo iliwakutanisha wachezaji, Viongozi wa benchi la Ufundi na Viongozi

Yanga pia walifungua Champagne na kukata Keki ambayo ilikuwa imeandikwa Happy Birthday Yanga.

Kupitia Ukurasa maalumu wa Instagram wa Yanga wameandika haya na kupost video kilichokuwa kikiendelea leo.

Sherehe za kumbukumbu ya kuanzishwa kwa klabu yetu siku kama ya leo miaka 84 iliopita.

Hapa wachezaji pamoja na benchi la ufundi wakisheherekea kwa pamoja.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY