Habari njema kutoka Simba leo 7 February 2019

Habari njema kutoka Simba leo 7 February 2019

0

Habari njema kutoka Simba leo 7 February 2019

Achana na habari ya Simba kuwa uwanjani leo kucheza dhidi ya Mwadui Fc katika mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL majira ya saa moja usiku uwanja wa Taifa.

Habari njema ikufikie msomaji wa Kwataunit.co.ke kuwa beki na kiraka wa kutumainiwa Erasto Nyoni ambaye kukosekana kwake uwanjani kumekuwa kukielezwa kuwa chanzo cha beki line ya Simba kutofanya Vizuri soon anarudi mzigoni.

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Akizungumza nasi jana alipoenda mazoezini kuwatembelea wenzake Nyoni alisema hivi karibuni atarejea uwanjani na Leo anaenda kufanya vipimo ambavyo ataelezwa ni lini hasa aanze mazoezi.

Kurejea kwa Erasto Nyoni ni habari njema kwa wanaSimba hasa ukizingatia umuhimu wake anapokuwa ndani ya Uwanja.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY