Je Goli la Makambo dhidi ya Coastal ni sahihi? Msikie Othman Kazi

Je Goli la Makambo dhidi ya Coastal ni sahihi? Msikie Othman Kazi

0

Je Goli la Makambo dhidi ya Coastal ni sahihi? Msikie Othman Kazi

Siku za karibuni Yanga wamekuwa wakilalamika kuwa wanahujumiwa na huenda kuna mipango ya kuwafanya waukose ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara msimu huu ambao Yanga wameonekana kufanya vizuri.

Msimamo ligi kuu Tanzania Bara TPL 2018/2019

Katika mchezo wa ligi kuu kati ya Coastal Union na Yanga Uliofanyika Jumapili ya 3 February uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga ilizuka Sintofahamu kuhusiana na goli la Makambo baada ya kuonekana kama si Offside licha ya Mwamuzi wa pembeni kusema ni offside.

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Mwamuzi mstaafu aliyekuwa na Barge ya Fifa Othman Kazi ambaye huchambua mambo mbalimbali yanayotokea na yenye utata kuhusu maamuzi kwenye kipindi cha Kipyenga azam Tv ameelezea goli hilo.Kwa Mujibu wa maelezo ya Kazi msomaji wa Kwataunit.co.ke ameeleza kuwa Goli la Makambo lilikuwa ni goli sahihi kabisa na hakuna Offside pale hivyo Yanga walionewa goli sahihi.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY