Je Ninja atacheza dhidi ya Simba Jumamosi? Majibu haya hapa

Je Ninja atacheza dhidi ya Simba Jumamosi? Majibu haya hapa

0

Je Ninja atacheza dhidi ya Simba Jumamosi? Majibu haya hapa

Tayari homa ya pambano kati ya Yanga na Simba imeshaanza kupanda ambapo pambano hilo litachezwa Jumamosi 16 February 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

Kuelekea pambano hilo washabiki wa Yanga wamekuwa na wasiwasi kama mchezaji wao wa kutumainiwa Abdallah Shaibu Ninja atacheza kwenye mchezo kati yao na Simba.

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Jana kamati ya saa sabini na mbili ilitoa majibu kuhusiana na suala na Abdallah Shaibu Ninja, Kupitia kwa mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura imesema kuwa kamati ya saa 72 imepeleka suala lake kwenye kamati ya nidhamu.

Hivyo basi msomaji wa Kwataunit.co.ke kamati ya nidhamu itatoa maamuzi lakini pia Mchezaji huyo ataendelea kuitumikia klabu ya Yanga katika mechi zake mpaka maamuzi yatakapotoka

Hivyo basi Ninja anaweza kuendelea kuitumikia Yanga kama kawaida hata katika mchezo wa Simba kama kamati ya Nidhamu itakuwa haijakaa kusikiliza na kutoa maamuzi juu ya shauri lake.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY