Jerry Muro aandika Ujumbe huu kuomba Radhi wanaYanga

Jerry Muro aandika Ujumbe huu kuomba Radhi wanaYanga

0

Jerry Muro aandika Ujumbe huu kuomba Radhi wanaYanga

Jerry Muro aliingia katika headlines mara baada ya kauli yake ya kuponda juu ya uwezo wa Mrisho Ngassa, Haruna Moshi Boban na Kocha Zahera Mwinyi.

Jerry Muro alisema Boban na Ngassa wamechoka na wanashindwa kuendana na kasi ya ushindani uliopo ligi kuu TPL huku akisema Kocha Zahera si kocha mzuri bali ni muhamasishaji tu.

Baada ya kauli hiyo msomaji wa kwataunit.co.ke washabiki na wapenzi wa Yanga walikuja juu kiasi cha kumpa makavu live kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii huku Mrisho Ngassa akimjibu Kisomi zaidi.

Mrisho Ngassa amjibu Jerry Muro kisomi

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jerry Muro ameandika ujumbe huu Kuomba Radhi kwa wanaYanga

Niwaombe Radhi,wanachama, mashabiki wote wa @yangasc waliokerwa na kauli yangu dhidi ya mwalimu zahera na Ngasa na Boban .
Tukumbuke na mimi naumia tunapoona timu Kubwa ya kimataifa kama yanga inashindwa kufanya vizuri dhidi ya simba INAUMA, lakini maneno yangu yabaki changamoto Kwa Ngasa na Boban kufanya vizuri ili kudhihirisha niliyayotoa Kwa makosa , tunaendelea kujifunza Kutokana na makosa 
#YangaDaimaMbele

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY