Js Saoura wapinzani wa Simba mzigoni leo

Js Saoura wapinzani wa Simba mzigoni leo

0

Js Saoura wapinzani wa Simba mzigoni leo

Wapinzani wa Simba katika michuano ya Kimataifa hasa katika michuano ya Kombe la Klabu bingwa barani Afrika Hatua ya Makundi Kundi D kLABU YA Js Saoura Leo itakuwa mzigoni.

Js Saoura itacheza mchezo wake wa Ligi kuu ya Algeria maarufu kama Ligue 1 katika mchezo wa ugenini dhidi ya CABBA.

Kabla ya mchezo huo Js Saoura ilipata ushindi katika mchezo wake uliopita wa Ligi kuu ya Algeria ikicheza dhidi ya DRB Tadjenanet ushindi wa Bao 2 kwa 0.

Mpaka sasa msomaji wa Kwata Unit Js Saoura wanashika nafasi ya 6 katika msimamo huku wakiwa na Viporo viwili ambavyo wakishinda vyote wanaweza kusogea mpaka nafasi ya 3 au ya Nne kwenye msimamo wa ligi yenye timu 16.

Install App Bora Ya Michezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY