Kauli ya Zahera yawashangaza washabiki

Kauli ya Zahera yawashangaza washabiki

0

Kauli ya Zahera yawashangaza washabiki

Jumapili 10 February 2019 kulikuwa na mchezo kati ya JKT Tanzania waliokuwa wenyeji wa mabingwa wa kihistoria wa kigi kuu soka ya Tanzania Bara Yanga.

Katika mchezo huo Yanga ilifanikiwa kupata ushindi wa Bao 1 kwa 0 bao la Feisal Salum kipindi cha Kwanza.

Baada ya mchezo huo kocha Mwinyi Zahera ametoa kauli ambayo imewashangaza washabiki wengi wa soka nchini huku baadhi wakidhani ni mbinu tu za kocha huyo.

Kocha Zahera Mwinyi msomaji wa Kwataunit.co.ke akizungumza baada ya mechi hiyo alisema hakuwa anajua kama Yanga itacheza na Simba tarehe 16 na siku hiyo ndo alijua kwahiyo kuanzia Jumapili usiku ataanza kuifikiria Simba nini cha kufanya kabla ya kucheza nao.

 sikuwa na taarifa kama tarehe 16 February tunacheza na Simba SC . Leo ndio nimeambiwa hili; nitakaa na vijana tujipange kwa mechi hiyo “

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY