Kikosi cha Yanga kinachoweza kuanza dhidi ya JKT Tanzania leo

Kikosi cha Yanga kinachoweza kuanza dhidi ya JKT Tanzania leo

0Kikosi cha Yanga kinachoweza kuanza dhidi ya JKT Tanzania leo

Kikosi cha Yanga leo 10 February 2019 kuwavaa JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara utakaochezwa uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

Kuelekea mchezo huo hiki ni kikosi cha Yanga cha Utabiri kinachoweza kuanza dhidi ya JKT Tanzania.

Golini : Ramadhan Kabwili bila shaka ataendelea kuaminiwa na kucheza kama kipa namba moja wa Yanga katika mchezo wa leo.

Mabeki wa pembeni : Namba mbili Paul Godfrey ” Boxer” ambaye bila ubishi amekuwa nguzo kubwa pembeni kwa Yanga huku kushoto Gadiel Michael ananafasi kubwa ya Kuanza leo.

Mabeki wa Kati : Abdallah Shaibu Ninja anatakiwa kwenda kusikiliza Shauri lake kamati ya nidhamu TFF kutokana na tuhuma za kumpiga kiwiko mchezaji wa Coastal lakini uongozi umesema atawakilishwa na katibu wa Yanga hivyo leo anaweza kuanza katika kikosi na kusaidiana na kati ya Yondani na Dante.

Au kocha anaweza akajilipua kwa kutaka kuwachezesha Dante na Yondani kwaajili ya kuwaweka sawa kabla ya mchezo dhidi ya Simba Jumamosi February 16.

Viungo wa Kati : Mpaka sasa Feisal Salum anahatihati ya kutoanza katika kikosi cha Leo kutokana na kuwa kadi 2 za njano huku Yanga ikionekana kumwitaji zaidi kwenye mechi dhidi ya Simba

Matokeo yote ligi kuu ya Uingereza EPL 9 February 2019

Hivyo basi hata kama akianza leo inabidi acheze na mtu ambaye atakaba zaidi kisha yeye kazi yake iwe kuchezesha timu hivyo anaweza akaanza na mtu kama Tshishimbi kama namba 6 kisha Fei akacheza namba 8 Ikumbukwe Kamusoko leo hatacheza kutokana na kuumia nyama za paja.

AU kocha akaamua kujilipua tu kwa kumuanzisha Fei na mchezaji Mohammed Issa Banka ambao hucheza kwa kuelewana sana toka wakiwa timu ya Taifa ya Zanzibar.

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Mawinga : Naziona nafasi za Ibrahim Ajibu kushoto na Mrisho Ngassa Kulia wakianza katika kikosi cha Yanga leo dhidi ya JKT Tanzania.

Washambuliaji : Amis Tambwe msomaji wa Kwataunit.co.ke ananafasi kubwa ya kuanza leo akisaidiana na Matheo Anthony katika safu ya Ushambuliaji kutokana na Makambo kukosekana leo.

Install Michezo Plus AppNO COMMENTS

LEAVE A REPLY