Kikosi cha Yanga kitakachoivaa Simba 16.2.2019 hiki Hapa

Kikosi cha Yanga kitakachoivaa Simba 16.2.2019 hiki Hapa

0

Kikosi cha Yanga kitakachoivaa Simba 16.2.2019 hiki Hapa

Kuelekea pambano kati ya Yanga na Simba Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi ni kama ameonyesha Kikosi ambacho Kitaivaa Simba katika mazoezi yanayoendelea huko mkoani Morogoro katika viwanja vya Bigwa.

Katika mazoezi ya Jana Kocha huyo alionekana kupanga vikosi viwili huku kimoja kikionekana ndicho kitakachoikabili Simba 16.2.2019 katika mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania bara TPL.

Katika Kikosi cha Mwinyi Zahera msomaji wa Kwataunit.co.ke ilionekana Ramadhan Kabwili kucheza huku akisaidiwa na walinzi Paul Godfrey “Boxer” , Gadiel Michael shavu la kushoto na Walinzi Kelvin Yondani na Andrew Vincent ” Dante”

Huyu ndiye Mwamuzi atakayeamua Yanga vs Simba 16.2.2019

Katika eneo la Kiungo aliwaanzisha Papy Tshishimbi, Feisal Salum na Abdallah Shaibu Ninja wakicheza kwa Pamoja .

Huku katika eneo la mbele wakicheza Mrisho Ngassa, Ibrahim Ajibu pamoja na Heritier Makambo akicheza mbele yao.

Huku katika Kikosi cha Pili wakiwepo wachezaji wengine kama Kindoki, Gustavo Simon, Mohammed Issa Banka, raphael Daud, Said Makapu, Juma Abdul, Pius Buswita, Deus Kaseke na wengineo.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY