Kocha bora mwezi January 2019 TPL

Kocha bora mwezi January 2019 TPL

0

Kocha bora mwezi January 2019 TPL

Kocha wa timu ya KMC ya jijini Dar Es Salaam Ettiene Ndayiragije amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi January 2019 akiwashinda Malale Hamsini wa Alliance Fc na Kocha wa Biashara United Amri Said.

Kocha huyo atazawadiwa tuzo pamoja na zawadi ya milioni 1 kutoka kwa watoaji wa tuzo hizo Kampuni ya michezo ya kubahatisha Biko Sports.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY