Kubwa walilolifanya Simba usiku kuelekea mechi na Yanga

Kubwa walilolifanya Simba usiku kuelekea mechi na Yanga

0

Kubwa walilolifanya Simba usiku kuelekea mechi na Yanga

Wakati wengi wakisubiri mechi kati ya Simba na Yanga 16 February 2019 katika uwanja wa Taifa usiku wa 15 February klabu ya Simba imemtangaza Rasmi kocha Denis Kitambi kuwa kocha Msaidizi wa Timu hiyo.

Kitambi anachukua nafasi ya aliyekuwa kocha msaidizi kabla ya kutupiwa virago Masoud Djuma raia wa Burundi.

Kupitia ukurasa wa Instagram Simba waliandika Ujumbe Huu.

Tunawajulisha rasmi kwamba Denis Kitambi amekuwa Kocha Msaidizi wa timu yetu.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY