Madrid Darby Real wafanya kweli

Madrid Darby Real wafanya kweli

0

Madrid Darby Real wafanya kweli

Leo nchini Hispania Hususani katika mji wa Madrid kulikuwa na Darby ya kukata na Shoka kama si kukata na Mundu kati ya Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid .

Katika mchezo huo Real Madrid wamefanikiwa kuwatandika Atletico waliokuwa nyumbani bao 3 kwa 1.

Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Casemiro kisha Antoinne Griezmann akachomoa goli na kisha Sergio Ramos akaongeza bao la pili kwa njia ya penati huku Garreth Bale akamalizia bao la tatu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY