Matokeo Al Ahly vs Haras El Hadood

Matokeo Al Ahly vs Haras El Hadood

0

Timu ya Al Ahly ambao ni wapinzani wa Simba katika michuano ya Klabu bingwa barani Afrika hatua ya Makundi wakiongoza kundi D kwa kuwa na points 7 walikuwa uwanjani kuwakabili Haras El Hadood katika mchezo wa ligi kuu ya Misri.

Yanga: Aliyeifunga JKT mchezo wa Kwanza kukosekana Jumapili

Katika mchezo huo Al Ahly imefanikiwa kushinda mchezo huo kwa bao 1 kwa 0 mechi ikichezwa huko Alexandria

Goli la Al Ahly limefungwa na Hamdi Fathi katika dakika ya 45 ya Mchezo na kufanikiwa kudumu mpaka mwisho wa mchezo huo uliokuwa mgumu kwa timu hizo kufungana.

Kwa matokeo haya Al Ahly anaendelea kubaki katika nafasi ya tatu akiwa na points 39 nyuma ya Pyramids wenye points 42 na Zamalek wenye points 45.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY