Matokeo As Vita vs Js Saoura leo CAF

Matokeo As Vita vs Js Saoura leo CAF

0

Matokeo As Vita vs Js Saoura leo CAF

Klabu ya As Vita ikicheza nyumbani leo mjini Kinshasa imeshindwa kutamba baada ya kulazimishwa sare na timu ya Js Saoura licha ya As Vita kuanza kwa kuwafunga bao 2 kwa 0.

Mechi hiyo imesisha kwa sare ya bao 2 kwa 2 huku Js Saoura wakifanya kazi ya kuchomoa bao zote mbili.

As Vita walianza kwa kufunga mabao yao mapema Kazadi Kasengu dakika ya 15 na Kisha kuongeza bao la 2 dakika ya 38 kupitia kwa Jean Marc Makusu.

Js Saoura wakafunga bao lao la kwanza kwa njia ya penati dakika ya 45 kupitia kwa Mohammed Hammia, na mechi ikielekea kuisha Dakika ya 88 Sid Ali Yahia Cherif akafunga bao la pili na mechi kuisha bao 2 kwa 2.

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY