Matokeo Coastal Union vs Azam Fc leo

Matokeo Coastal Union vs Azam Fc leo

0

Matokeo Coastal Union vs Azam Fc leo 19 February 2019

Mechi Imeanza

Coastal Union 0 – 0 Azam Fc

Dakika ya 20

Coastal Union 0 – 0 Azam Fc

Dakika ya 30

Coastal Union 0 – 0 Azam Fc

Goaaaaaaal Ayoub Lyanga anaipatia Coastal Union bao la Kuongoza baada ya kuwatoka walinzi wa Azam anaachia shuti kali kwa mguu wa Kushoto na kumuacha Abarola kushindwa cha Kufanya

Coastal Union 1 – 0 Azam Fc

HALF TIME

Coastal Union 1 – 0 Azam Fc

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili kimeanza

Dakika ya 50

Coastal Union 1 – 0 Azam Fc

Goaaaaal Dakika ya 51 Obrey Chirwa anaisawazishia Azam fc bao

Dakika 60

Coastal Union 1 – 1 Azam Fc

Dakika ya 80

Coastal Union 1 – 1 Azam fc

FULL TIME

Coastal Union 1 – 1 Azam Fc (Ayoub Lyanga, Obrey Chirwa)

Tusupport kwa Kuinstall App yetu ya Michezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY