Matokeo EPL : Everton vs Manchester City

Matokeo EPL : Everton vs Manchester City

0

Maombi ya washabiki wa Liverpool kwa Everton kushinda jana yaligeuka kazi bure BAADA ya Manchester City kufanikiwa kushinda katika mchezo huo.

Manchester City walifanikiwa kupata ushindi wa bao 2 kwa bila katika uwanja wa Goodison Park unaomilikiwa na Everton.

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Magoli ya Manchester City yalifungwa na Aymeric Laporte dakika ya 73 na goli la Pili likifungwa na Gabriel Jesus dakika ya 90 na kuzima kabisa ndoto za Everton kuisimamisha Man City.

Manchester City msomaji wa Kwataunit.co.ke kwasasa anaongoza Ligi akiwa na Points 62 sawa na Liverpool wakizidiana wastani wa magoli ya Kufunga na kufungwa lakini City akiwa mbele kwa mechi moja.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY