Matokeo JKT Tanzania vs Yanga leo

Matokeo JKT Tanzania vs Yanga leo

0

Matokeo JKT Tanzania vs Yanga leo 10 February 2019

Matokeo ya Moja kwa moja kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga kutoka uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

Mechi Imeanza

JKT Tanzania 0 – 0 Yanga

dakika ya 2 Mrisho Ngassa anajaribu shuti kali kwa mrisho Ngassa kupiga golini lakini mpira unapaa juu kidogo juu ya Lango

Dakika ya 5 Yanga wanapata Kona wanashindwa kuizalishia bao

Dakika ya 9 JKT Tanzania wanapata kona nao wanashindwa kuitumia

Dakika ya 14 JKT wanapata kona almanusra wafunge bao lakini wanashindwa na walinzi wa Yanga wanaokoa

Dakika 15

JKT Tanzania 0 – 0 Yanga

Dakika ya 20 Ibrahim Ajibu anapiga Free Kick ambayo kipa tu anakuwa shujaa anatoa na kuwa Kona

Dakika ya 21 Ahmed Shiboli anapewa kadi ya njano kwa kumchezea Kabwili mchezo usio wa Kiungwana

Goaaaaaaal Feisal Salum anaipatia Yanga bao la Kuongoza, dakika ya 26 Ilikuwa ni juhudi binafsi za Gadiel Michael aliyetoa pasi ya upendo kwa Fei

JKT Tanzania 0 – 1 Yanga

Dakika ya 35

JKT Tanzania 0 – 1 Yanga

HALF TIME

JKT Tanzania 0 – 1 Yanga

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili kimeanza wakati huo Mohammed Issa Banka naye anapasha

Dakika ya 55

JKT Tanzania 0 – 1 Yanga

Dakika ya 57 Ahmed Shiboli anapokea safi nzuri anaturn na kupiga Mpira unaopaa Juu

Dakika ya 58 Mohammed Issa Banka anaingia kuchukua nafasi ya Ngassa

Dakika ya 62 Andrew Vincent anapewa kadi ya njano

Dakika ya 66 Ramadhan Kabwili anapiga mpira nje kuonyesha kuwa anahitaji msaada kutoka kwa madaktari

Dakika ya 67 Ibrahim Ajibu anaingia Deus Kaseke

Dakika ya 75 Kelvin Yondani anaingia kuchukua nafasi ya Pius Buswita


Dakika ya 78 Ramadhan Kabwili anafanya save nzuri na kuwa kona

Dakika ya 85

JKT Tanzania 0 – 1 Yanga

Yanga wanaonekana kuzidiwa na JKT Tanzania wanaoshambulia muda wote wa Mchezo

Dakika ya 88 Kaseke anakosa bao la wazi , Kipa anaucheza

Dakika ya 89 JKT Tanzania wanawakosa Yanga bao

FULL TIME

JKT Tanzania 0 – 1 Yanga (Feisal Salum)

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY