Matokeo KMC vs Alliance leo 10 February 2019

Matokeo KMC vs Alliance leo 10 February 2019

0

Matokeo KMC vs Alliance leo 10 February 2019

Ukiachana na mechi kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga iliyoisha kwa Yanga kushinda kwa bao 1 kwa 0 goli lililofungwa na Feisal Salum kulikuwa na mchezo mwingine kati ya KMC dhidi ya Alliance Fc.

Mechi hiyo imemalizika kwa Timu zote kutoka suluhu ya bao 1 kwa 1 KMC wakianza kufunga kupitia kwa Abdul Hilary na Kisha Alliance wakasawazisha dakika ya 64 kupitia kwa Israel Patrick

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY