Matokeo Ligi kuu ya Kenya 11 February 2019

Matokeo Ligi kuu ya Kenya 11 February 2019

0

Matokeo Ligi kuu ya Kenya 11 February 2019

Ligi kuu ya Kenya iliendelea 11 February 2019 kwa mechi mbili kuchezwa ambapo Ulinzi Stars walibwanwa mbavu na Western Stima kwa kutoka sare ya bao 1 kwa 1.

Katika mchezo Mwingine Nakumatt wakiwa nyumbani walikubali kipigo cha bao 2 kwa 0 kutoka kwa KCB.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY