Matokeo Ligi kuu ya Uingereza 10 February 2019

Matokeo Ligi kuu ya Uingereza 10 February 2019

0

Matokeo Ligi kuu ya Uingereza 10 February 2019

Ligi kuu ya Uingereza imeendelea leo kwa mechi mbili kuchezwa katika mechi ya Mapema Tottenham Hotspur imefanikiwa kupata ushindi wa bao 3 kwa 1 mbele ya leicester City.

Mabao ya Spurs yamefungwa na Davinson Sanchez , Christian Eriksen na Son Heung-min huku goli la Leicester City likifungwa na Jamie Vardy.

Katika mchezo mwingine Manchester City wakicheza katika uwanja wao wa Etihad wameifunga Chelsea kichapo cha bao 6 kwa 0 mabao ya City yakifungwa na Sergio Aguero mabao 3, Raheem Sterling mawili na Ilkay Gundogan

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY