Matokeo mechi zote ligi kuu ya Misri 5 February 2019

Matokeo mechi zote ligi kuu ya Misri 5 February 2019

0

Matokeo mechi zote ligi kuu ya Misri 5 February 2019

Ligi kuu nchini Misri jana iliendelea kwa mechi 2 kuchezwa huku timu wanazocheza watanzania zikiwa dimbani kucheza.

Timu mojawapo anayocheza Mtanzania Shiza Kichuya ENPPI ilikuwa nyumbani kuwakaribisha wababe wa soka la Afrika Al Ahly katika mchezo huo timu ya Al Ahly ilifanikiwa kupata ushindi wa bao 2 kwa 1.

Ratiba ligi kuu ya Uingereza leo 6 February 2019

AL Ahly wanasalia katika nafasi ya 3 wakiwa na points 36 Nyuma ya Pyramids nafasi ya pili wenye points 42 lakini wakiwazidi Al Ahly mechi 4 huku nafasi ya Kwanza wakiwepo Zamalek wenye points 45 wakiwa wamecheza mechi 18.

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Katika mchezo mwingine timu ya petrojet anayocheza Mtanzania Mwingine Himid Mao Mkami “Ninja” ilifanikiwa kupata Ushindi mwembamba wa bao 1 kwa 0 goli la Ahmed Abdel dakika ya 59.

Hata hivyo msomaji wa Kwataunit.co.ke Petrojet licha ya ushindi huo wamesalia mkiani kabisa mwa Ligi hiyo wakiwa na Points 18 baada ya mechi 21.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY