Matokeo Simba vs Al Ahly leo
Matokeo ya Moja kwa moja kati ya Simba wenyeji wa mchezo dhidi ya AL Ahly kutoka Misri leo 12 February 2019
Mechi Imeanza
Simba 0 – 0 Al Ahly
Simba wanaonekana kuanza kwa kuchangamka na kucheza kwa kasi lakini walinzi wa Al Ahly wanaonekana kuwawin mipira ya juu washambuliaji wa Simba
Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App
Dakika ya 5 Al Ahly wanapata Kona ya Kwanza kwao na ya kwanza kwenye mchezo wa leo lakini wanashindwa kupata bao
Simba 0 – 0 Al Ahly
Dakika ya 8 Simba wanapata Kona baada ya Meddie Kagere kumbabatiza na mpira mlinzi wa Al Ahly
Dakika ya 9 Emmanuel Okwi anajaribu shuti langoni mwa Al ahly mpira unadakwa na kipa
Dakika ya 12 Meddie Kagere anakosa moja ya nafasi nzuri kabisa ambazo zingeweza kuipatia Simba bao, Inakuwa Kona
Dakika ya 14 Simba wanapata kona inapigwa kona inazaa kona Nyingine
Dakiak 20
Simba 0 – 0 Al Ahly
Dakika 30 Zimekatika matokeo yakiwa bado 0 kwa 0 katika uwanja wa Taifa
Dakika ya 35 Al Ahly wameanza kushambulia lango la Simba baada ya dakika 30 za Mwanzo Simba kushambulia zaidi lango la Al Ahly
Dakika ya 36 Simba wanapata Kona
Dakika ya 39 Mohammed Hussein Zimbwe anaingia kuchukua nafasi ya Asante Kwasi ambaye anaonekana kuumia
Dakika ya 40 Meddie Kagere anakosa nafasi ya wazi na kuwa kona kwa Simba
HALF TIME
Simba 0 – 0 Al Ahly
Install App ya Wakubwa Ujishindie Vocha kila Siku
KIPINDI CHA PILI
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 48 Meddie Kagere anapoteza nafasi ya Kuitanguliza Simba
Dakika ya 49 John Bocco anakosa bao la wazi
Dakika ya 55
Simba 0 – 0 AL Ahly
Dakika ya 62 Simba wanatengeneza nafasi nyingine lakini Mpira uliopigwa na Okwi unashindwa kutumiwa vyema na JohN Bocco
Goaaaaal Dakika ya 64 Meddie Kagere anaipatia Simba bao la Kuongoza
Simba 1 – 0 Al Ahly
Sakika ya 81 Juuko Murshid anapewa kadi ya Njano
Dakika ya 82 John Bocco anatoka anaingia Hassan Dilunga
Simba 1 – 0 Al Ahly
Zimebaki dakika 4 za Nyongeza
Simba 1 – 0 Al Ahly
FULL TIME
Simba 1 – 0 Al Ahly