Matokeo Singida United vs JKT Tanzania

Matokeo Singida United vs JKT Tanzania

0

Matokeo Singida United vs JKT Tanzania

Leo 13 February katika uwanja wa Namfua mkoani Singida kulichezwa mchezo mmoja wa Raundi ya 4 kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup kati ya Singida United na JKT Tanzania.

Mchezo huo umemalizika kwa vijana wa Singida United kupata Ushindi wa bao 1 kwa 0 hivyo kuwafanya kuendelea katika hatua inayofuata ya michuano hiyo.

Goli hilo pekee la walima Alizeti limepachikwa na kiungo wao Kenny Ally Mwambungu kwa shuti kali yard 45.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY