Matokeo TPL Azam vs Simba leo

Matokeo TPL Azam vs Simba leo

0

Matokeo TPL Azam vs Simba leo

Matokeo ligi kuu soka Ya Tanzania bara kati ya Azam Fc dhidi ya Simba leo 22 February 2019 kutoka uwanja wa Taifa.

Mechi Imeanza

Azam 0 – 0 Simba

Goaaaaaaaal dakika ya 4 Meddie KAGERE anaipatia Simba bao

Azam 0 – 1 Simba

Dakika ya 6 Azam wanatengeneza shambulizi zuri lakini kichwa cha Chirwa kinaenda nje ya lango

Dakika ya 12 Azam wanapata Kona

Inapigwa Kona na Ramadhan Singano lakini Aggrey Moris anashindwa kutumia vyema anapiga kichwa mpira Unapaa juu ya LANGO

Dakika ya 14 Simba wanawakosa tena Azam na kuwa Kona

Dakika ya 15 Aggrey Moris anajaribu shuti la mbali mpira Unapaa juu kidogo ya lango

Dakika ya 15

Azam FC 0 – 1 Simba

Dakika ya 20 Azam wanapata Kona wanashindwa kuitumia

Dakika ya 22 Simba wanapata Kona

Kikosi cha Azam dhidi ya Simba leo

Azam wanatulia na kupiga pasi nzuri lakini mpira baada ya kuwekewa mpira Anapaisha

Dakika ya 25 Kona kuelekea Simba

Dakika 30

Azam Fc 0 – 1 Simba

Dakika ya 33 Azam fC Wanakosa bao baada ya shuti la Sure Boy kugonga mwamba na kurejea uwanjani

Kikosi cha Simba dhidi ya Azam leo

Dakika ya 35 Simba wanafanya Shambulizi zuri langoni mwa Azam Fc lakini walinzi wa Azam wanaokoa

Goaaaaaal dakika ya 38 Bocco anaipatia Simba bao la 2

Azam 0 – 2 Simba

Dakika 40

Azam 0 – 2 Simba

Dakika ya 43 Simba wanapata Kona

Dakika ya 45 Kona Nyingine wanapata Simba wanashindwa kupata Bao

Dakika 2 za Nyongeza

Paul Bukaba abnapewa kadi ya njano kwa kumchezea vibaya Obrey Chirwa

HALF TIME

Azam Fc 0 – 2 Azam Fc

KIPINDI CHA PILI

Azam Fc wanafanya mabadiliko ya kuwatoa Kutinyu na Singano nafasi zao zinachukuliwa na Donald Ngoma na Enock Attah Agyei

Dakika ya 46 Ngoma anakosa bao la Wazi

Dakika ya 50

Azam 0 – 2 Simba

Dakika ya 57 Simba wanapata Kona

Dakika ya 66 James Kotei anapewa kadi ya njano

Dakika ya 67 Frank Domayo anaingia Kuchukua nafasi ya Mahundi

Dakika ya 70 John Bocco anatoka anaingia Hassan Dilunga

Emmanuel Okwi anaonekana atashindwa kuendelea na pambano baada ya Kuumia nafasi yake inachukuliwa na Mzamiru Yassin

Dakika ya 75 Mdathir Yahya anapewa kadi ya njano

Goaaaaaal dakika ya 77 Meddie Kagere anawapatia Simba bao la tatu

Goaaaaaal Frank Domayo anaipatia goli Azam Fc kwa SHUTI KALI

Azam Fc 1 – 3 Simba

Dakika ya 85 Azam wanaweka kamba nyingine Elly Sasi anasema faulo ilifanyika kabla ya goli kufungwa

Dakika ya 90 Chama anatoka anaingia Rashid Juma

FULL TIME

Azam Fc 1 – 3 Simba

Install App Bora Ya Michezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY