Matokeo Yanga vs Simba leo 16 February 2019

Matokeo Yanga vs Simba leo 16 February 2019

0

Matokeo Yanga vs Simba leo 16 February 2019

Matokeo ya Moja kwa moja kati ya Yanga dhidi ya Simba mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara TPL leo 16 February 2019

Kuanzia saa 10 kamili alasiri Tutakupa matokeo ya Moja kwa Moja.

Mechi Imeanza

Yanga 0 – 0 Simba

Dakika ya 1 Simba wanapata kona lakini wanashindwa kuitumia kupata bao

Dakika ya 8 Yanga wanafanya Shambulizi zuri lakini wanakosa bao

Dakika 10

Yanga 0 – 0 Simba

Dakika ya 15 Simba wanapata Kona baada ya mpira uliopigwa na Meddie Kagere kuzuiliwa na Abdallah Shaibu Ninja

Dakika ya 16 Simba wanapata Kona Nyingine

Dakika 20

Yanga 0 – 0 Simba

Dakika ya 23 Paul Godfrey anamsababishia Moammed Hussein kupewa kadi ya njano baada ya kumweka chini nje kidogo ya 18

Dakika ya 25 Heritier Makambo anawakosa Simba bao baada ya kupewa pasi nzuri na Ajibu

Dakika ya 28 Emmanuel Okwi anajaribu shuti mpira Unapaa juu ya Lango

Dakika ya 30

Yanga 0 – 0 Simba

Dakika ya 36 Simba wanapata Free Kick baada ya madhambi ya Tshishimbi kwa Emmanuel Okwi

Dakika ya 37 Yanga wanapata Free Kick baada ya Zimbwe Jr kumweka chini Makambo

Dakika ya 39 Yanga wanapata Kona

Dakika ya 40 Heritier Makambo anakosa Bao la Kichwa baada ya Kichwa chake kupaa juu ya Lango

Dakika ya 45 Amis Tambwe anapewa kadi ya njano baaada ya kutaka kuucontrol mpira kwa Mkono

HALF TIME

Yanga 0 – 0 Simba

KIPINDI CHA PILI

Simba wanamtoa Chama anaingia Hassan Dilunga

Mrisho Ngassa upande wa Yanga anaingia Kuchukua nafasi ya Amis TambweDakika ya 47 Gadiel Michael anapewa kadi ya njano baada ya kunyanyua Daluga

Dakika ya 49 Feisal Salum anajaribu shuti nje ya 18 shuti linapaa

Dakika ya 57 Emmanuel Okwi anapiga shuti linagonga mwamba wa Juu

Dakika ya 61 Ibrahim Ajibu anatoka anaingia Mohammed Issa Banka

Dakika ya 64 Simba wanawakosa Yanga bao Abdallah Shaibu anaokoa akiwa kwenye Line

Dakika ya 70 Yanga nao wanatulia lakini krosi ya Gadiel Inapaa

Goaaaaaaal dakika ya 72 Meddie Kagere anaipatia Simba bao la Kwanza

Yanga 0 – 1 Simba

Dakika ya 73 Emmanuel Okwi anapewa kadi ya Njano

Dakika ya 74 Feisal Salum anapewa kadi ya njano kwa mchezo usio wa Kiungwana kwa James Kotei

Dakika ya 77 Gadiel Michael anatoka anaingia MATHEO aNTHONY

Dakika ya 81 Kelvin Yondani anapewa kadi ya njano

Emmanuel Okwi anatoka anaingia Muzamir Yassin, Dakika ya 85

Dakika ya 87 Yanga wanakosa bao la wazi lakini pia wakati huo mshika kibendera ameonyesha kuwa ilikuwa ni Offside

Dakika 4 za nyongeza

Dakika ya 90 Meddie Kagere anatoka anaingia Haruna Niyonzima

Meddie Kagere anapewa kadi ya njano kwa kuchelewesha kutoka nje

FULL TIME

Yanga 0 – 1 Simba

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY