Matokeo yote ligi kuu TPL leo

Matokeo yote ligi kuu TPL leo

0

Ligi kuu soka Ya Tanzania bara iliendelea Leo Kwa mechi 5 kuchezwa.

Lipuli FC 1 – 1 Azam Fc

African Lyon 0 – 0 Ruvu Shooting

Prisons 1 – 0 Stand United

Ndanda 2 – 0 Kagera Sugar

Mwadui 1 – 0 Mtibwa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY