Matokeo yote ligi kuu ya Kenya leo 6 February 2019

Matokeo yote ligi kuu ya Kenya leo 6 February 2019

0

Matokeo yote ligi kuu ya Kenya leo 6 February 2019

Ligi kuu ya Kenya imeendelea leo kwa mechi 3 kuchezwa huko katika miji mbalimbali nchini Kenya.

Gor Mahia wakiwa ugenini dhidi ya Vihiga United wamefanikiwa kupata ushindi wa bao 1 kwa 0

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Nao AFC Leopards wakiwa Nyumbani uwanja wa Machakos wamekubali kichapo cha bao 2 kwa 1 wakicheza na Nakumatt.

Nao Western Stima wakicheza huko mjini Kisumu wamefanikiwa kupata ushindi wa bao 1 kwa 0 mbele ya Zoo Kericho

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY