Mbao Fc wawasili salama Mbeya

Mbao Fc wawasili salama Mbeya

0

Mbao Fc wawasili salama Mbeya

Timu ya Mbao Fc kutoka jiji la Miamba Mwanza wamewasili salama jijini Mbeya kuikabli Tanzania Prisosns.

Mbao Fc wamewasili Mbeya na wataikabili Prisons katika mchezo utakaochezwa siku ya Kesho Jumatano 6 February 2019 katika uwanja wa CCM Sokoine.

Install App bora ya Michezo Tanzania

Mbao Fc msomaji wa Kwataunit.co.ke wapo katika nafasi ya 6 ya msimamo wa Ligi kuu TPL wakiwa na points 33 baada ya kucheza mechi 23 wakati Tanzania Prisons wao wapo katika nafasi ya 18 wakiwa na Points 20 baada ya kucheza mechi 23.

Ommy Dimpoz – Ni Wewe | Download wimbo mpya

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY