Mchezaji bora wa mwezi January 2019 ligi kuu TPL

Mchezaji bora wa mwezi January 2019 ligi kuu TPL

0

Mchezaji bora wa mwezi January 2019 ligi kuu TPL

Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limemtangaza mchezaji wa Mbao Fc Dickson Ambundo kuwa mchezaji bora wa mwezi January 2019.

Ambundo amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo kwa kuwakalisha weznake wawili ambao ni kipa wa KMC Juma Kaseja na mshambuliaji wa Coastal Union Ayoub Lyanga.

Dickson Ambundo atazawadiwa zawadi ya shilingi milioni 1 kutoka kwa wadhamini wa tuzo hizo kampuni ya michezo ya Kubahatisha ya Biko Sports.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY