Mo Dewji atoa ya Moyoni kwa washabiki Simba

Mo Dewji atoa ya Moyoni kwa washabiki Simba

0

Mo Dewji atoa ya Moyoni kwa washabiki Simba

Kikosi cha Simba Jumanne February 12 2019 kitashuka dimbani kucheza na vijana kutoka mji wa Alexandria timu ya Al Ahly

Kuelekea mchezo huo boss wa timu ya Simba Mohammed Dewji ameandika ujumbe kwenda kwa washabiki wa Simba kuelekea mchezo huo akielezea washabiki wa kweli ambao huenda kuisapoti Simba kwa nyakati zote.

Nirahisi kujitokeza nakuchukua sifa iwapo Simba itashinda, lakini mashabiki wa kweli ni wale ambao wanajirudi na kushangilia Simba pindi inapopita katika kipindi kigumu. Mashabiki wa kweli wanakuwepo wakati mzuri na wakati mbaya. — Mo

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY