Muda sahihi mechi ya Azam vs Simba leo 22 February 2019

Muda sahihi mechi ya Azam vs Simba leo 22 February 2019

0

Muda sahihi mechi ya Azam vs Simba leo 22 February 2019

Leo kutakuwa na mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania bara maarufu zaidi kama TPL katika nyasi za uwanja wa Taifa kati ya Azam Fc ambao watakuwa wenyeji wa mchezo kuwakaribisha Simba.

Mechi hiyo ni ya Kwanza kuzikutanisha timu hizo msimu huu kutokana na Simba kuwa na ratiba za mechi nyingi za kimataifa kwahiyo ni mechi ya Kiporo kwa timu hizo.

Mechi hiyo msomaji wa Kwata Unit itaanza majira ya saa kumi kamili alasiri muda wa Afrika Mashariki.

Install App Bora Ya Michezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY