Ngassa : Hatuiogopi Simba

Ngassa : Hatuiogopi Simba

0

Ngassa : Hatuiogopi Simba

Moja ya wachezaji ambao wamecheza timu za Yanga na Simba kwa vipindi tofauti Mrisho Ngassa amefunguka kuelekea pambano la watani wa jadi Simba na Yanga leo.

Mrisho Ngassa amefunguka kuwa wao kama wachezaji wa Yanga hawaiogopi Simba wala kutishika na wachezaji wa kimataifa waliopo Simba kwani hata kwao wapo

“Dakika 90 ndizo zitaamua, tumejiandaa vizuri kuhakikisha tunapata ushindi na hatuwezi kuwaogopa Simba, kama ni wachezaji wa kigeni hata kwetu wapo cha msingi ni kusubiri muda ufike,” alisema.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

Ngassa pia ambaye leo anatarajiwa kuanza katika kikosi cha Mwanzo cha Yanga alifunguka kuwa anaamini mbinu alizowaelekeza kocha Zahera kuelekea mchezo huo zitawasaidia kupata Ushindi mbele ya Mnyama leo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY