Nkana Fc watambulisha jezi zao kwaajili ya msimu huu

Nkana Fc watambulisha jezi zao kwaajili ya msimu huu

0

Timu ya Nkana Fc ya Nchini Zambia imetambulisha jezi zake za Msimu huu wa ligi kuu ya Zambia kwa mwaka 2019.

Makamu Bingwa hao wa msimu uliopita pia wanashiriki hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani AFrika CAF.

Jezi ya Nyumbani
Jezi ya Ugenini

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY