Pazito : Kiwiko cha Shaibu na TFF yamefika hapa

Pazito : Kiwiko cha Shaibu na TFF yamefika hapa

0

Mlinzi wa Kati wa Klabu ya Yanga Abdallah Shaibu maarufu kwa jina la Ninja ameitwa kwenye kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la soka la Mpira wa Miguu nchini Tanzania TFF kwenda kusikiliza shauri lake.

Abdallah Shaibu Ninja alionekana kucheza mchezo usio wa Kiungwana kwa mchezaji wa Coastal Union katika mchezo uliofanyika uwanja wa Mkwakwani.

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Kama Abdallah Shaibu Ninja atakutwa na hatia anaweza kufungiwa mechi tatu hivyo kuikosa mechi kati ya Yanga na Simba February 16 uwanja wa Taifa.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY