Post ya Manara baada ya Kuifunga Yanga

Post ya Manara baada ya Kuifunga Yanga

0

Post ya Manara baada ya Kuifunga Yanga

Baada ya Yanga kuchezea kichapo cha bao 1 kwa 0 mbele ya Simba Haji Manara akitumia ukurasa wake wa Instagram ameendelea kuwashambulia Yanga huku akiandika kuwa ndani ya wiki moja wameidunga klabu tajiri zaidi Afrika (AL ahly) na Klabu maskini zaidi Afrika (Yanga)

Nadhani sasa mtanielewa ninapokuwa namwelezea John Bocco , huyu anafanya kazi ya kitukufu uwanjani anasumbua sana mabeki kisha anaasist mabao muhimu sana kwetu!!
Okey Simba kwa wiki hii imeweza kuifunga Klabu Tajiri zaidi Afrika na pia imeifunga klabu Maskini zaidi Afrika

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY