Post ya Manara baada ya Simba kuifunga Al Ahly

Post ya Manara baada ya Simba kuifunga Al Ahly

0

Post ya Manara baada ya Simba kuifunga Al Ahly

Mara baada ya Ushindi wa Simba mbele ya Al Ahly kwenye uwanja wa Taifa huu ndiyo Ujumbe aliouandika Haji marana.

Kun fayakun hapa Dar!!
Hata ije Brazil ya Pele kwa mchina kufa ni wajibu,ni ada na ni lazima!!
Leo sura ya Haji ndio itaonekana uhalisia wake!!
Vingenevyo niachieni Insta ninyooshe waso haya

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY