PSG yatata pigo jingine kuelekea mechi na Man United

PSG yatata pigo jingine kuelekea mechi na Man United

0

PSG yatata pigo jingine kuelekea mechi na Man United

Klabu ya Paris Saint German ya Ufaransa imepata pigo kuelekea mchezo wake dhidi ya Manchester United dhidi ya Manchester United hatua ya 16 bora.

PSG imepata pigo mara baada ya mshambuliaji wake wa Kimataifa kutoka nchini Uruguay Edson Cavani kuumia katika dakika ya 46 katika mchezo kati ya PSG dhidi ya Girondis Bordeaux

Cavani anaungana na Mshambuliaji mwingine raia wa Brazil Neymar Dos Santos ambaye naye bado anauguza majeraha yake katika wachezaji watakaoikosa Manchester United

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY