Rage : Nawaonea Huruma Yake Jumamosi

Rage : Nawaonea Huruma Yake Jumamosi

0

Rage : Nawaonea Huruma Yake Jumamosi

Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage amefungguka mtazamo wake kuelekea pambano kati ya Yanga na Simba Jumamosi 16 February 2019.

Kuelekea mchezo huo Rage amefunguka kuwa anawaonea huruma Yanga kwani ni wazi kuwa maandalizi ya Simba ni bora zaidi na hata timu ziko tofauti akisema Simba iko vizuri zaidi.

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

RAGE alisema Yanga walikuwa wakishinda kwa bahati tu mechi zao na Jumamosi lazima wafungwe na Simba na safari hii akitamani Yanga ifungwe bao 6 na Simba.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY