Ratiba ligi kuu Tanzania TPL leo 17 February 2019

Ratiba ligi kuu Tanzania TPL leo 17 February 2019

0

Ligi kuu sOKA Tanzania bara baaada ya jana kushihudiwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba leo itaendelea kwa mchezo mmoja kuchezwa.

Mchezo huo utakuwa kati ya Lipuli Fc Wanapaluhengo watakaoikaribisha Timu ya Singida United kutoka Mkoani Singida katika uwanja wa Samora mkoani Iringa.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY