Ratiba ligi kuu TPL leo 10 February 2019

Ratiba ligi kuu TPL leo 10 February 2019

0

Ratiba ligi kuu TPL leo 10 February 2019

Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL itaendelea leo kwa mechi mbili kuchezwa katika miji ya Dar Es Salaam na Tanga.

Mechi za leo zitakuwa kati ya JKT Tanzania ambao watakuwa wenyeji wa mabingwa wa kihistoria wa kombe hilo klabu ya Yanga katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Na mechi nyingine itakuwa ni kati ya KMC waite Kino Boys watakaokuwa nyumbani kucheza na Alliance Fc ambao katika mchezo uliopita waliisimamisha Azam Fc Chamazi.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY