Ratiba Ligi kuu TPL leo 14 February 2019

Ratiba Ligi kuu TPL leo 14 February 2019

0

Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL inaendelea leo kwa mechi mbili kuchezwa katika miji miwili Mbeya na Musoma Mkoani Mara.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

Katika mji wa Mbeya mapema tu saa nane kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Azam Fc mechi ambayo inatarajiwa kuwa ngumu kutokana na matokeo ya Prisons siku za karibuni.

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Nako Mkoani Mara timu ya Biashara United Itakuwa nyumbani kucheza na Mtibwa Sugar timu ambayo toka ilipopanda ligi kuu haijawahi kushuka daraja, Mechi hii itaanza saa kumi kamili alasiri.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY