Ratiba ligi kuu ya Kenya leo 6 February 2019

Ratiba ligi kuu ya Kenya leo 6 February 2019

0

Ligi kuu ya Kenya itaendelea leo kwa mechi 3 kuchezwa mechi hizo zote zitaanza saa tisa kamili alasiri.

Vihiga United Watakuwa nyumbani Bukhungu kucheza na Mbaingwa watetezi wa ligi hiyo Gor Mahia.

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

Nao AFC Leopards watakuwa uwanja wa Machakos kucheza na Mt Kenya Kuelekea pambano hilo AFC Leopards wametangaza kumkosa kiungo wake anayesumbuliwa na maumivu ya Goti Ezekiel Edward Seda

Nako Kisumu msomaji wa Kwataunit.co.ke kutakuwa kuna mechi nyingine kati ya Western Stima ambao wataikaribisha Zoo Fc .

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY