Ratiba ligi kuu ya Uingereza leo 6 February 2019

Ratiba ligi kuu ya Uingereza leo 6 February 2019

0

Ratiba ligi kuu ya Uingereza leo 6 February 2019

Ligi kuu ya Uingereza itaendelea leo kwa mchezo mmoja kati ya Everton ambao watakuwa nyumbani kuwakaribisha Manchester City ambao wanapambana kuwaondoa Liverpool Kileleni mwa msimamo

Mechi hiyo msomaji wa Kwataunit.co.ke itaanza majira ya saa nne na dakika arobaini na tano usiku katika uwanja wa Goodison Park .

Zahera akabidhiwa Uchifu Singida

Refa atakayechezesha pambano hilo ambalo linatarajiwa kuwa la upinzani mkubwa ni Craig Pawson mzaliwa wa Sheffield Uingereza akiwa na miaka 39 kwasasa.

Timu hizo zinashuka dimbani huku Manchester City wakiwa nafasi ya 2 wakiwa na points zao 59 baada ya kucheza mechi 25

Huku upande wa Everton wakiwa nafasi ya 9 wakiwa na points zao 33 baada ya kucheza mechi 25.

Install App bora ya michezo kwasasa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY