Ratiba UEFA Champions League leo

Ratiba UEFA Champions League leo

0

Ratiba UEFA Champions League leo

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya itaendelea leo Jumanne 12 February 2019 kwa mechi 2 za hatua ya 16 Bora Kuchezwa katika nchi za Uingereza na Italia.

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

Huko nchini Uingereza leo watu watakuwa wakipata nafasi ya kutazama mechi kati ya Manchester United ambao watakuwa wenyeji wa vijana kutoka Ufaransa PSG mechi ikianza saa tano kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Nako nchini Italia msomaji wa Kwataunit.co.ke vijana wa As Roma wao watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya FC Porto kutoka nchini Ureno.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY