Sikia alichokisema Kagere kuhusu Makambo

Sikia alichokisema Kagere kuhusu Makambo

0

Sikia alichokisema Kagere kuhusu Makambo

Wakati watu wengi wakisubiri kwa hamu pambano kati ya Yanga na Simba Jumamosi 16 February 2019 tayari tambo kutoka kwa wachezaji zimeanza kusikika zikiwa zimebakia siku chace.

Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere amesema hamfahamu Makambo zaidi ya kusikia kelele tu za washabiki wa Yanga wakimsifia lakini itafahamika Jumamosi watakapokutana uwanja wa taifa.

”Makambo ndiyo nani? Kwanza simfahamu, licha ya kusikia kelele za mashabiki tu, ila waje uwanjani waone kazi nitakayoifanya ambayo itapelekea kumsahau kabisa huyu Makambo wao,” alisema Kagere.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY