Simba: Wachezaji hawa hatihati kuwakosa Azam Fc

Simba: Wachezaji hawa hatihati kuwakosa Azam Fc

0

Simba: Wachezaji hawa hatihati kuwakosa Azam Fc

Simba kesho itashuka uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam kucheza mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL dhidi ya Azam Fc.

Kuelekea mchezo huo kuna wachezaji wawili wa Simba ambao huenda wakakosekana katika mchezo huo wa kesho ambao ni muhimu kwa timu zote katika harakati za kuwania Ubingwa wa Ligi hiyo.

Katika mazoezi ya jana wachezaji Haruna Niyonzima na Nicolas Gyan licha ya kufika mazoezini walishindwa kufanya mazoezi kutokana na kuwa majeruhi Gyan akiwa anaumwa Kiunoni na Haruna Niyonzima akiwa anaumwa Mguu wake wa kulia ambapo walitibiwa na kuendelea kukaa nje.

Wachezaji hao walianza katika mchezo kati ya Simba na African Lyon uliochezwa jijini Arusha na Simba kupata ushindi wa bao 3 kwa 0.

Install App Bora Ya Michezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY